Peter msingwa ambae ni mbunge wa jimbo la arusha mjini kupitia chadema apandishwa kizimbani kwa tuhuma za kutukana na kutishia kuua
mbunge huyo amepandishwa kizimbani kwenye mahakama ya mwanzo mkoani iringa akituhumiwa kumtishia kifo akiyekuwa diwani kata ya kitwira Baraka kimato
pia akipandishwa pamoja na diwani viti maalumu Selestina johanes na dereva God mwaruki kwa kosa hilo hilo
akisoma mashitaka hakimu Rehema mayagilo alisema walitenda kosa la kutukana na kumtishia kumuua Baraka kimato jana kwenye ofisi za halmashauli ya iringa
watuhumiwa wote watatu wamepewa dhamana na kesi yao itaendele tena october 9
Tags
Siasa