NYAMBIZI YA UJERUMANI ILIYOZAMA MWAKA 1915 YAPATIKANA IKIWA HAIJA HARIBIKA

Jeshi la wanamaji wa Ujerumani yasema imeipata nyambizi ambayo ilizama tangu mwaka 1915

nyambizi hiyo imekutwa umbali wa mita 30 chini ya bahari kwenye pwani ya nchi ya Ubergiji

mkuu wa jeshi amesema nyambizi hiyo ilizamishwa na mlipuko wakati wa vita ya kwanza ya dunia

jeshi limesema nyambizi hiyo ilikuwa na uwezo wa kuzama mita 50 nchini ya bahari

inaaminika miili ya wanajeshi 50 huenda ikawa bado ipo ndani yake na imewekewa ulinzi ili isisogelewe na mtu wakati wakijiandaa kuiopoa

Post a Comment

Previous Post Next Post