Kijana mmoja nchini guinea awasifi polisi baada ya kumkamata alipo iba
katika video iliyo enea ilimwonesha kijana mmoja aitwae boubacar dialo akiwasifu polisi kwa kazi nzuri
mwizi huyo na mwenzake waliiba kiasi cha pesa $5600 kwenye duka la simu kusini mwa nchi hiyo
alisema ameamini jeshi la polisi nchini mwake lina mafunzo ya kutosha maana hakuzani kama angekamatwa kiwepesi kiasi hicho
pia aliitaka serikali kuliongezea vifaa jeshi hilo ili lifanye kazi kwa ubora zaidi huku akisema anajuta na hato iba tena
Tags
Kimataifa