Mbunge wa kigoma mjini kupitia chama cha ACT Zitto kabwe anatafutwa na kamati ya bunge
kupitia kwa katibu wa bunge Thomas kashililah amesema kuwa mbunge huyo alipewa barua ya kuitwa kwenye kamati ya bunge lakini hakuja
amesema baada ya muda akasikika kuwa yupo nchini kenya huku akiwa hajatoa taalifa kamili
kamati ya bunge imesema bado ipo bungeni dodoma na inashindwa kutoa maamuzi kwakuwa muhusika hayupo na anaweza kulalamika baadae
spika wa bunge Job ndugai aliwasilisha tuhuma kwenye kamati ya bunge akimtuhumu zitto kabwe kutamka maneno yasiyo ya busara kwenye mitandao ya kijamii akisema bunge limewekwa mfukoni na mhimili fulani
Tags
Siasa