Ng'ombe asababisha ajari ya gari iliyo pelekea mtu mmoja kufariki na wengine sita kujeruhiwa
kwa mujibu wa maelezo wa kamanda wa polisi amesema jana usiku ng'ombe alivuka barabara kwa ghafla hatua iliyo mlazimu dereva wa busi la kidia one kumkwepa na kujikuta ameacha njia
katiks tukio hilo gari lilipinduka na kusababisha kifo cha mtu mmoja na wengine sita kujeruhiwa katika ajari iliyo tokea maeneo ya TINDE nje kidogo ya mji wa shinyanga ambapo gari hilo lilikuwa likitokea dar kwenda mkoani mwanza
dereva wa gari hilo amekimbia lakini kamanda wa polisi amesema watamkamata muda mchache tu ujao kwakuwa jeshi hilo lipo imara
Tags
Ajali