JAJI MKUU AKATAA KUONGELEA SWALA LA TUNDULISU

Jaji mkuu wa tanzania pr.hibrahim juma amesema mahakama haipo tayali kuongelea swala la tundu lissu

wakati akiongea na wana habari jaji mkuu amesema.kuna kanuni zinawabana haziwaruhusu kuzungumzia jambo lolote linalo weza kufika mahakamani

amesema hawaruhusiwi kuzungumza ila wanawataka wananchi kuwaacha polisi wafanye kazi yao kwakuwa ndiyo watu wenye jukumu hilo

pia amesisitiza kuwa swala hili ni swala lenye uzito mkubwa na watu wasichukulie ki wepesi kabisa jambo hili

pia wakati akijibu maswali ya wana habari jaji mkuu alisema mahakama ya Tanzania ina uhuru mkubwa pengine zaidi ya kuishinda mahakama ya kenya

pia jaji mkuu amewataka wananchi na watanzania kwa ujumla kuwa na imani na mahakama kwakuwa mahakama ipo kwaajili ya kuamua haki na inajitawala

Post a Comment

Previous Post Next Post