Raisi wa ufilipino mwenye shati jeupe pichani aruhusu mwanae wakiume auawe
raisi huyo ametoa kauli hii baada ya kufikishwa mbele ya maseneta nchini humo akituhumiwa kuhusika kwenye biashara ya madawa ya kulevya ambapo alikana mashitaka baada ya kutuhumiwa kushilikiana na mwanae
sihusiki na biashara ya madawa ya kulevya na nna ichukia kitambo na nimehuzunika kuambiwa nafanya biashara hii na kama mwanangu atakutikana na hatia ya kufanya biashara hii auawe tu"
kumekuwa na tuhuma ziki mkabili mwana wa raisi kuwa ni mwongozaji wa kundi kubwa la wauza madawa ya kulevya na amesha pandishwa kizimbani kujibu tuhuma zake na baba yake karuhusu auawe endapo atakutikana
Tags
Kimataifa