NEY AWACHANA WASANII WANAO TUMIA UCHAWI

Ney wa mitego awachana wasanii wanao tumia ushilikina kwenye.muziki wao

akiongea kwenye kipindi cha XXL cha clouds  fm alisema kuna wasanii wengi wanatumia ndele kwenye muziki wao ili waeleweke na mashabiki

amesema ukitumia ushilikina siku ukija kufuria huwezi rudi kwenye hame hata ukafanya wimbo na yesu na amesema wengi imesha wakuta hiyo na wapo tuu mtaani kazi yao kusema wenzake

ney amesema anajiamini bila ndele na hata akipanda jukwaani yete ni lama Juma nature hata asipo kuwa na nyimbo mpya ana wakalisha watu kama kawaida

Post a Comment

Previous Post Next Post