rocketi kuanza kubeba abiria kama ndege

kampuni moja kubwa ya rocketi iitwayo SPACEX imehaidi kuja na rocket  mpya ambazo zitakuwa zikibeba abilia

mmiliki wa kampuni hiyo amesema.wanampango wa kuleta rocketi ambayo itakuwa na safari za New york mpaka London

amesema rocketihizo zime zamilia kupunguza muda wa safari na itasafiri new york mpaka london kwa muda wa dakika.29 tuu

pia kampuni hii ina itaji kuanzisha safari zingine za kusafirisha watalii mpaka kwenye sayari ya Mars ili watu wakajionee

kampuni hiyo imesema mradi huo utaghalimu pesa nyingi lakini wamejipanga kufanya mapinduzi ya tekenolojia ya safari

miongoni mwa rocket zimekuwa ziki safiri na baada ya safari kuto tumika tena.sasa wamejipanga kuleta rocket zenye muundo wa ndege kimuonekano na kimatumizi pia

mkuu wa kampuni hiyo amewataka watu kuwa watulivu wamejipanga kuleta mabariko makubwa katika usafiri

Post a Comment

Previous Post Next Post