LEO NIMEKUSOGEZEA NCHI KUMI ZENYE IDADI KUWA ZAIDI YA WATU DUNIANI
CHINA-1388232693
INDIA-1342512706
USA-326474017
INDONESIA-263510140
BRAZIL-211243220
PAKISTAN-196744375
NIGERIA-191835936
BANGLADESH-164827718
RUSIA-143375006
MEXICO-130222815
Idadi hii ni kwa mujibu wa takwimu za mwaka 2017 iliyochukuwa udadi ya watu duniani huku INDIA na CHINA zikiww na idadu ya robo ya binadamu wote
Tags
takwimu