KIPANDE CHA NDEGE CHAANGUKIA JUU YA GARI JAPAN

Kipande cha ndege chaangukia gari na kuharibu vibaya gari hilo wakati ndege ikipaa

ndege ya kampuni ya KLM ilikuwa ikipaa kwenye mji wa Osaka nchini japani iliangusha kipande ambacho kilihalibu gari kwa upande wa nyuma

kipande hicho kilianguka kutoka umbali wa mita 2000 kutoka angani kikiwa na uzito wa kilo nne ila hakikumzuru mtu

ndege hiyo ilikuwa na abilia 300 ilifanikiwa kutua salama kwenye uwanja wa ndege wa Amsterdam na kampuni ya KLM imesema inafanya uchunguzi zaidi kubaini tatizo

Post a Comment

Previous Post Next Post