ZITO KABWE AKAMATWA NA POLISI

Mbunge wa kigoma mjini zutto kabwe akamatwa na polisi

mbunge huyo amekamatwa kwenye uwanja wa ndege wa dar es salaam akitokea kugoma

mpaka sasa anashikiliwa na jeshi la polisi na mawakili wake wanaendelea na kufuatilia kujua ni nini chanzo cha kukamatwa kwake kwakuwa hakija fahamika chanzo

zitto kabwe alitakiwa kufika katika kamati ya bunge kujibu tuhuma zake baada ya kusema bunge limewekwa mfukoni katika kauli aliyo itoa kwenye mitandao ya kijamii huku ikiwa haija fahamika kama ndyo chanzo cha kukamatwa kwake

Post a Comment

Previous Post Next Post