Mwanamume mmoja raia wa uingereza amekamatwa dubai baada ya kunyanyua juu kidore chake cha kati
mwanaume huyo alitenda kosa hili mnamo mwezu februali mwaka huu na amekamatwa septemba baada ya kwenda tena kutarii nchini humo
kwa mujibu wa maelezo yake amesema alifanya hivyo baada ya dereva taxi kumpita bila kusimama huku yeye akiwa hajui kama ni kosa kufanya hivyo
mpaka sasa amenyang'anywa pass yake ya kusafilia na kutakiwa kuto ondoka dubai ili asikilize kesi yake
amesema inamuwia ngumu kwakuwa anahisi muda si mrefu ataishiwa pesa kwakuwa hakujipanga kuwepo kwa muda mrefu zaidi
miongoni mwa vitendo ambavyo vinaweza kukuweka matatani dubai ni pamoja na
*kushikana mikono hadharani
*kupigana busu hadharani
*kulala chumba kimoja na mtu wa jinsia tofauti ambae si mke wako
*kuwa na mahusiano ya kimapenzi na mtu wa jinsia moja nawe
*kuvaa nguo za kubana
*mwanamke kuto jifunika mwili wako