Mwansume mmoja aliye tambulika kwa jina la Dmitry baksheev miaka 35 na mke wake Natalia wanashililiwa na polisi baada ya kuuwa watu 30
wawili hao wanaishi katika kambu ya jeshi nchini urusi walikamatwa na baadhi ya nyama za binadamu na walipo ulizwa wakili kuwauwa watu 30
wawili hao ni wana ndoa inaaminika walianza kuuwa watu na kula miili yao tangu miaka ya 90
hivi kalibuni kulibainika kuwepo kwa vipande vya miili ya binadamu maeneo ya nyumbani kwao hali iliyo shangaza watu wengi
miongoni mwa watu walio potea mmoja mwili wake ulikutwa kwenye nyumba ya wanandoa hao wawili
pia simu moja iliyookotwa ilionesha baadhi ya picha za wanandoa hao wakiwa wanatafuna nyama huku kichwa cha binadamu kikiwa kwenye sahani na tunda pembeni
jeshi la polisi linchunguza DNA za miili mingine waliyo ikuta kama ni miili ya binadamu au wanyama