Katika kesi inayo wakabili vigogo wawili wa timu ya simba kesi hiyo imepigwa karenda
katika kesi hiyo mahakama imesema imeshindwa kuendelea leo kwakuwa jalada lai lilienda kwa DPP halijarudu
watuhumiwa hao ni raisi wa simba Evans aveva na Geofrey nyange maarufu kama kaburu
vuingozi hao wanakabiliwa na mashitaka ya kutakatisha fedha na kesi yao imehailishwa mpaka oktoba 4 licha ya mawakili wao kuomba ipangiwe siku za karibuni
Tags
Michezo