MUGABE AMCHIMBA MKARA TRUMP

Raisi wa zimbabwe.Robert mugabe amtia mkara raisi wa marekani Donard trump

mugabe amesema hakuna taifa dogo kijeshi kwenye ulimwenguu huu wa sasa wa sayansi na tekenolojia

mugabe amesema kila nchi ina uhuru wake na inaweza kujiongoza yenyewe na siyo kupelekeshana kitu hicho hakifai na hakita kubalika

pia kasisitiza kila taifa lina haki ya kujiongoza ikiwemo kumiliki siraha siyo tuu nchi kubwa ndiyo zina haki hivyo basi trump awe na heshima na uhuru wa taifa jingine

Post a Comment

Previous Post Next Post