DIWANI MWINGINE CHADEMA AHAMA ARUSHA

katika mwendelezo wa madiwani wa chadema kuhama chama hicho na kujiunga na ccm hatimae jana diwani mwingine atangaza kuhama chadema.

ni diwani wa kata ya kimanduli mkoani arusha ambae alitangaza kuhama chadema na kujiunga na ccm

baada ya kupanda jukwaani diwami huyo alianza kwa kusema alikuwa hamwelewi.magufuri lakini sasa anamwelewa na ameamua kumuunga mkono katika kupambana kuleta maendeleo nchini

pia raisi magufuri alisema ameshangazwa na kitendo cha madiwani hao kuacha maslai yote na kuhama chama na kujiunga nao

pia magufuri ameitaka.ccm kuwapa nafasi madiwani hao kugombea dhidi ya vyama vingine kwenye uchaguzi ujao

hatua ya kuhama kwa madiwani hawa ni kama pigo kwa chadema lakini wao wamejinasibu kwa kusema kuwa hawa athili jambo lolote kwenye chama

Post a Comment

Previous Post Next Post