Dereva wa kampuni ya ndege ya ETHIAD afariki akiwa angani muda mfupi baada ya kurusha ndege
rubani huyo alikuwa akiendesha ndege yenye namba EY297 mali ya kampuni ya ETHIAD
rubani huyo alifariki muda mchache baada ya kuruka akielekea mjini Amsterdam hali iliyo mlazimu rubani wa akiba kutua nchini kuwaiti kwa dhalula
kampuni ya ETHIAD imesibitisha kutokea kwa kifo cha rubani wake pia imesema imeguswa na tukio hilo na watakuwa pamoja na familia katika kipindu hiki kigumu huku wakiwa hawaja taja jina la rubani huyo
ndege hiyo haikuwa na abilia bali ni ndege ya mizigo ilikuwa ikielekea mjini amsterdam
Tags
Ajali