Bondia asiye na rekodi ya kupigwa duniani Flyd maywether amefanya kufuru jingine mara hii
baada ya kumiliki nyumba nyingi pia sasa amenunua jumba la kifahari kwenye mji wa matajili wa BEVERLY HILLS lenye thamani ya bilion 56 za kitanzania
pia inaaminika ametumia zaidi ya bilion moja kununua vitu vya ndani
jumba hilo lina vyumba sita vya kulala pia kuna ukumbi wa sinema ambao una sehemu za kukaa watu 50 kuangalia sinema
Tags
Fashion