Watu wawili wanao aminika kuwa walikuwa ni wezi wa boda boda wamechomwa moto.mpaka kufa mkoani tabora
kamanda wa polisi asibitisha kutokea kwa tukio hilo ambapo kijana aliye fahamika kwa jina la Haruna bungala alikodiwa na vijana wawili akiwa maeneo ya shule ya msingi kitete
baada ya kumkodi walimtaka awapeleke kwenye kata ya malolo likini alipo kalibia kufika vijana hao walianza kumkaba wakiitaji kuchukuwa pikipiki
baada ya kurupushani nyingi dereva wa bodaboda akalia akiomba msaada ndipo wananchi wakaja na kuanza kuwapiga vijana hao na kisha kuwachoma moto
baada ya tukio hilo mwenyekiti wa bodaboda aliwapa pingezi wananchi kwa kitendo hicho huku akisema walistahili kufanyiwa hivyo
Tags
Kitaifa