Mbungea wa chadema Arusha mjini Godless lema na mwenzake wa arumeru mashariki Joshua nassari kutinga takukuru kuwasilisha ushahidi wa rushwa
wabunge hao wawili wamesema wanashukuru TAKUKURU kuwa ruhusu kupeleka ushahidi wao
wabunge hawa wawili kutoka chadema wamesema wana ushahidi kuwa madiwani wa chadema walio hamia ccm mkoani arusha walinunuliwa
wabunge hao wamesema wana ushahidi wa kieletronic ambao wanatarajia kuupeleka takukuru na wana amini takukuru haita waangusha
kuhusu nassari mbunge lema amesema amekwenda nairobi kupata baraka za mbowe na anarudi muda si mrefu wata wasilisha ushahidi huo
siku za hivi kalibuni kumekuwa na wimbi la madiwani mkoani Arusha kutangaza kuhamia ccm wakisema wamelizishwa ma utendaji wa raisi magufuri hatua iliyopelekea chadema kudai wananunuliwa na watatoa ushahidi wao