Kamanda wa polisi kanda maalumu ya dar es salaam Razaro mambosasa amesema miili ilyookotwa ufukwe wa bahali ya hindi haijulikani ni ya kutoka wapi
mambosasa amesema miili hiyo haitambulika ni ya kutoka nchi gani au ni mkoa gani maana haitambuliki kutokana na kuhalibika
amesisitiza kuwa uchungizi unaendelea kubaini miili hiyo iliko toka na kwanini ilitoswa baharini
miili ya watu watatu ili okotwa kwenye ufukwe wa bahari ya hindi ikiwa imefungwa mawe ili isielee huku ikiwa haifahamiki
Tags
Kitaifa