Mbunge wa jimbo la Arumeru mashariki kupitia chadema amesems yupo tayari kujiuzuru ububge endapo ushahidi wake kuhusu ccm kununua madiwanibwa chadema ukiwa wa uwongo
nasari amesema kumekuwa na wimbi la madiwani wa chadema.kujiunga na ccm kwa kigezi cha kuvutiwa utendaji wa magufuri lakini kumbe wamenunuliwa
nasari amesema ana ushahidi wa kielectroniki kuwa madiwani hao wana nunuliwa na ccm na kuhaidiwa mambo mengi ikiwemo pesa na vyeo wakisha hama chama na ushahidi huo anai kwenye flashi
nasari amesema anaushahidi na endapi ukawa ni wa uwongo yupo tayari kujiuzuru ambapo alisema juzi kipundi diwan wa chadema anatangaza kuhama chama walitakiwa kuwa wawili ila mmoja akufanya hivyo na ushahidi anao
pia amesisitiza kuwa ushahidi huo yupo tayari kuutoa kwenye vyombo husika ili taratibu zifuate