Spika wa bunge la Tanzania Job ndugai amwonya mbowe kuhusu matibabu ya lissu nchini kenya
spika wa bunge alisema swala la lissu mbowe amelifanya kisiasa saana na si kama lilivyo takiwa kufanyika
Ngugai alisema kwa mujibu wa taratibu za bima ya afya mgonjwa ilibidi apelekwe mhimbili alafu itoke taarifa ya dokta kuhizinisha kuamishwa kwa mgonjwa ndipo wao wangetoa pesa
pia amesema mbowe alitakiwa kuandika barua ya kuomba pesa za matibabu zaidi na nimistari miwili tuu ingemaliza matatizo yoote kwakuwa utaratibu ulitakiwa kufuatwq
Tags
Siasa