Katika mechi nyingine ya ligi kuu nchini uingereza iliwakutanisha chelsea.ambao walikuwa ugenini kwa stock city na matokeo kuisha kwa chelsea kutoka na ushindi wa goli.nne kwa bila
katika mechi hiyo MORATA amefanikiwa kuchungulia nyavu mara tatu na kuisaidia chelsea kuondoka ugenini kifua mbele
Tags
Michezo