JESHI LA POLISI LAWAKAMATA WASIOJULIKANA WATANO

Jeshi la polisi mkoani Dar es salaam limefanikiwa kuwakamata watu watano walio husika na tukio la kuvunja na kuiba kwenye ofisi ya mawakili wa Prime atorney mjini dar es salaam

kamanda wa polisi Razalo mambosasa akiongea na wana habari amesema wamewakamata watu watano ambao walivunja na kuiba pesa tasilimu milioni tatu na laki saba pamoja na komputa mpakato mbili ndani ya ofisi ya mawakili wa Prime atorney

pia kamanda wa polisi amewataja watuhumiwa hao kuwa ni

SAID SAREHE (47)
MUSTAPHA SAID (35)
SOMVI SOMVI (52)
IMAN MHINA (36)
HUSEIN HAJIB (45)

Kamanda mambosasa amesema watuhumiwa hao baada ya kukamatwa walikili.makosa yao na wakaonesha pia mitungi ya gesi ambayo waliitumia kuvunja katika tukio hilo

pia mambo sasa amesema ni vizuri linapo tokea tukio wananchu kuwa wavumilivu ili kuipa muda polisi kufanya kazi zake kama ambavyo imefanya sasa

Post a Comment

Previous Post Next Post