WALIMU 15 WAFUKUZWA KAZI DODOMA

Admin
By -
0



Walimu 15 wamefukuzwa kazi chamwinu mkoani Dodoma baada ya kubainika kuwa ni watoro wa kudumu

tume ya utumishi wa uma imesema imefikia uamuzi wa kuwafukuza walimu hao kwakuwa ni watoro wa kudumu

kumekuwa na malalamiko ya muda mrefu kuwa walimu hao wamekuwa ni watoro wa kudumu na wamepewa onyo mara kadhaa bila ya kujirekebisha

tume hiyo imesema uamuzi huo utaleta hasara lakini aina jinsi itabidi wafanye hivyo ili kudumisha nizamu kazini ambayo kwa kipindi kilefu imetoweka


Tags:

Post a Comment

0Comments

Post a Comment (0)