MWANAMKE AKUTWA KAUAWA KIKATILI MKOANI MWANZA



Mwanamke mmoja amekutwa amefariki katika nyumba mbovu moja mkoani mwanza

chanzo cha kugundulika mwili wa mwanamke huyo ni watoto waliokuwa wakicheza katika nyumba  hiyo ndipo wakakuta mwili wa mwanamke huyo na kutoa taarifa

mwanamke huyo amekutwa amefariki huku akiwa amefungwa kamba na kuwekwa kwenye mfuko na kuviringishwa na nguo zake huku akiwa hana majereha yoyote

mpaka sasa hakuna aliye fanikiwa kukamatwa kufuatia tukio hilo na mkuu wa polisi Ahmed msangi amesibitisha kutokea kwa tukio hilo


Post a Comment

Previous Post Next Post