WAKAMATWA BAADA YA KULA NYAMA YA BINADAMU



Watu wanne wakamatwa na polisi baada ya kula nyama ya binadamu

mwanaune mmoja nchini Afrika kusini kwenye mji wa Durban alijipeleka polisi na kusema kuwa amechoka kula nyama za binadamu

alipo kaguliwa alionesha vidore na baadhi ya viungo vingine ambavyo vilisalia

baada ya kupata maelezo hayo polisi walitanguzana na mtu huyo mpaka mitaa ya kwa zulu natal ambako anaishi

baada ya kufika hapo ndipo wakakuta miguu na baadhi ya miili pamoja na watu ambao wanaishi na huyo alie toa tarifa na mmoja wao ni mganga wa kienyeji


Post a Comment

Previous Post Next Post