WEMA SEPETU ARUDIANA NA IDRISS SULTAN

Baada ya kuwa wapenzi na baadae kuachana bila sababu za kuachana kuwekwa wazi hatae kuna dalili kuwa wamerudiana

kwa kitambo kirefu hawakuwai kupost picha za mwenzake instagram lakini hatimae wema sepetu hivi karibuni ameanza kumpost idriss sultan
wema kapost picha ya idriss na kuandika ujumbe wa kutosha

Post a Comment

Previous Post Next Post