OFISI ZA TIMU YA YANGA KUPIGWA MNADA JUMA MOSI



Jengo la ofisi za timu ya Yanga latangazwa kupigwa mna jumamosi hii

hatua hii imekuja baada ya timu ya yanga kushindwa kulipa deni la shilingi milioni 300 ambayo wamedaiwa kwa kipindi kirefu


Post a Comment

Previous Post Next Post