Watoto wawili ambao walizaliwa wakiwa wameungana mkoani morogoro wafariki dunia
watoto hao walizaliwa wakiwa wameungana mkoani morogoro wamefariki baada ya kukaa duniani kwa siku 26 pekee
watoto hao walizaliwa huku wakiwa wanatumia baadhi ya viungo vya mwili kwa pamoja kabla ya kupoteza maisha
kwa mujibu wa maelezo ya dokta watoto hao wamefariki baada ya kuugua kifua kwa muda mfupi tuu
watoto hao walikuwa wakisubiri kufanyiwa upasuaji kuwatenganisha kwa bahati mbaya wakafariki kabla
visa vya watoto kuzaliwa wakiwa wameungana nchini Tanzania ni vya mala kwa mala ambapo mabinti wawili walizaliwa wakiwa wameungana na waliweza kuishi mpaka kufika kidato cha sita na kufauru mtihani wao wa mwisho
MAPACHA WALIO UNGANA WAFARIKI DUNIA
By -
August 17, 2017
0
Tags: