MTOTO WA MIAKA 10 ALIYE BAKWA AJIFUNGUA MTOTO WA KIKE

Admin
By -
0



Mtoto mmoja nchini india mwenye umri wa miaka kumi alibakwa mara kadhaa na mjomba wake hatua iliyopelekea kupata ujauzito

hatimae mtoto huyo amejifungua mtoto wa kike kwa njia ya upasuaji

mpaka anazaa hajui kama amezaa maana wazazi wake walimdanganya kuwa tumboni mwake kuna jiwe na watalitoa

kisa cha mtoto huyo kupata mimba kilienea kote india ambapo familia ilitaka ujauzito huo utolewe lakini mahakama ikakataa kufanikisha zoezi hilo

mimba hiyo aliipata baada ya kubakwa na mjomba wake kwa mala tofauti ambae nae amesha kamatwa


Tags:

Post a Comment

0Comments

Post a Comment (0)