
Mwanamke pichani alipwa dolla.$85000 baada ya kuvuliwa hijabu na polisi wa kiume nchini marekani
mwanamke huyu alikamatwa na polisi mwaka 2005 na baaada ya kuitajika kuvua hijabu yake aliomba avuliwe na askari wa kike lakini aka vuliwa na wakiume
baada ya kuvuliwa alikaa kichwa wazi magereza kwa muda kabla ya kurudishiwa hijabu yake
baada ya kumaliza kifungo chake kwenye mji wa Calfornia aliamua kufungua kesi mahakamani kufuatia kitendo alicho fanyiwa
baada ya mahakama kulipitia shauli lake ndipo akaamuliwa alipwe fidia ya dolla.85000 kama kifuta jasho cha kitendo hicho
Tags
Kimataifa