
Wanasayansi nchini marekani wafanikiwa kubaini uwezekano wa binadamu kupandikizwa viungo vya nguruwe
wanasayansi hao wamegundua uhusiano wa viungo vya nguruwe na binadamu na vikipandikizwa kwa binadamu vitafanya kazi bila mashaka
wanasayansi hao walisema haikuwa raisi kuamini kuwa viungo vya nguruwe kama vinaweza kumfaa binadamu lakini imewezekana
wamesema uchunguzi umekamilika na watu zaidi ya mia tatu wanasubiri kupandikizwa viungo hivyo vya nguruwe ili kunusuru afya zao
wanasayansi hai iliwachukua zaidi ya muongo mmoja kupata jibu kuhusu uwiano sahihi wa viungo vya nguruwe na binadamu
Tags
afya