
Watu wawili wafariki baada ya gari aina ya coster kuigonga treni jijini dar es salaam
ajari hiyo imetokea katika maeneo ya yombo jijini dar es salaam baada ya coster kugonga treni na kusababisha vifo vya watu wawili
walio fariki ni mwanamke mmoja na mwanaume mmoja ambae ni kondakta wa gari hilo la abiria mjini dar es salaaam
kamanda wa polisi amesema watu wawili wamefariki huku kukiwa na majerui 36 huku wawili wao wakiwa mahutuhuti na wanapatiwa matibabu kwenye hospitali ya Temeke dar es salaam
mpaka sasa hakija fahamika kilichilo pelekea gari hilo kugonga treni na polisi barabarani wapo kwenye uchunguzi zaidi
Tags
Kitaifa