MBEYA CITY KUIKALIBISHA AZAM



Timu ya mbeya city itaikalibisha Azam kwenye mechi ya kilafiki itakayo chezwa kwenye uwanja wa sokoine mjini mbeya

Azam tayari wamesha wasili mkoani mbeya tayari kwa mchezo huo wa kilafiki kujiandaa na michuano ya ligi kuu tanzania bara msimu ujao

uongozi wa Mbeya city umesema wamejipanga kucheza vizuri katika mechi hiyo ambayo wataitumia kutafuta kikosi cha kwanza cha timu hiyo

pia wamesema  baada ya mechi hii wataenda morogoro kwaajili ya kucheza na timu ya mtibwa sukari na baadae watacheza na polisi morogoro

pia watakwenda mpaka dar es salaam kwaajili ya kucheza mechi zingine za kirafiki kujipanga na msimu mpya wa ligi kuu tanzania bara utakao anza muda si mrefu


Post a Comment

Previous Post Next Post