CHELSEA WAIFUNGA ARSENAL.3-0



Katila mchezo wa kirafiki timu ya chelsea imefanikiwa kuifunga arsenal kwa gori 3-0

ushindi huu ni kama kisasi baada ya chelsea kufungwa na arsenal kwenye fainali ya kombe la FA mjini london

katika mechi hiyo mchezaji Batshuay ameonesha kiwango kizuri na hatimae kufanikisha ushindi wa gori tatu kwa sufuri zidi ya majirani zao hao

pia chelsea itacheza mechi zingine za kirafiki na Intermilan pamoja na beyern munich ili kujiandaa na ligi kuu uingereza


Post a Comment

Previous Post Next Post