TAKUKURU mkoani geitsa imewapeleka mahakamani wauguzi wawili wa hospital geita baada ya kuomba rushwa ya shilingi elfu kumi
watutuhumiwa hao ambao ni Elizabeth emanuel na Davidi zaksyo walipandishwa kizimbani baada ya kupokea rushwa ya shilingi elfu kumi
watuhumiwa hao walitenda kosa la kumwomba rushwa mzee wa miaka.70.ambae alikuwa anaitaji kufanyiwa vipimo katika hospitali hiyo
huku jina la mzee huyo likiwa halijatajwa watuhumiwa hao walisomewa mashitaka na waliyakana na wameachiwa kwa dhamana ya mali yenye thamani ya mioni nne na wazamini wawili kesi yao imehairishwa mpaka agost 19

Tags
Kitaifa