
Baada ya kukamatwa yeye na viongozi wengine wa chadema akiwa mkoani ruvuma hatimae katibu mkuu wa chadema Vincent mashinji akaachiwa kwa dhamana na kukamatwa tena
kiongozi huyo wa chadema alikamatwa katika wilaya ya nyasa mkoani ruvuma wakituhumiwa kufanya mkutano bila ya kibari cha polisi ambapo yeye na viongozi wengine walikamatwa na kuwekwa maabusu
baada ya kusomewa kesi mashinji aliachiwa kwa dhamana yeye na wenzake lakini muda mchache akakamatwa tena na kuhojiwa
kwa mujibu wawakili wake mashinji aliojiwa tena kwa muda wa nusu saa kwa kutuhumiwa kutoa lugha ya uchochezi na ya dharau ya kusema "raia watunze mazao yao yasiliwe na ngedere"
baada ya kuhojiwa akaachiwa huru huku wakisubiri kama anakesi ya kujibu ama laa
Tags
Kitaifa