WALINZI WA ACACIA 28 WAKWAMA MGODINI KWA SIKU NNE

Waliokuwa walinzi wa mgifi wa Buzwagi wakwama ndani ya mgodi kwa siku nne mfululuzo

walinzi hao 28 walikataa kusaini mkataba na kampuni mya hivyo uongozi wa kampuni ukaamua kufuta vitambulisho vyao na walinzi hao kujikuta wanashindwa kutoka nje

kabla  walinzi hao walikuwa 107 ksti yao 52 walikubari kusaini mkataba mpya na 28  walikataa huku wengine walikuwa likizo wakijikuta vitambulisho vyao havifanyi kazi tena

walimzi hao walikaa humo kwa siku nne sasa huku wakiwa hawapewi chakula lakini baada ya makubaliano walipewa chakura

baada ya kutafutwa msemaju wa mgodi huo uliochini ya ACACIA bwana Nector Foya alisema atatoa ufafanuzi saa sita mchana jana lakini hakufanya hivyo na alipo tafutwa baadae alisema alikuwa kwenye kikao na hajaweza kutoa ufafanuzi zaidi

Post a Comment

Previous Post Next Post