MAN U YAWAPIKU CHELSEA KWA LUKAKU

Timu ya manchester united imeipimu chelsea katika mbio za kumsajili roleu lukaku

kaba chelsea ilitangaza nia ya kumsajili lukaku baada ya wao kumuuza kwa everton na baadae kumtaka tena arufi klabuni hapo

lakini manchester united wamefanikiwa kumsajili kwa dau la paun mikioni 75 ukiwa niusajiri wa bei kali.kwa msimu huu kwa ligi kuu ya uingereza

kufuatia hatua ya kumpata lukaku man united wamesitisha mbio zao za kutaka kumsajiri Morata kutoka madrifi ambae wakikuwa wakimwinda pia

lukalu mwenye umri wa miaka 24 amegunga magori 28 hatua iliyomweka mahara pazuri na kuwaniwa na timu nyingi ikiwemo timu yake ya zamani ya chelsea ambayo ilikuwa ikimeitaji saana mchezaji huyo

Post a Comment

Previous Post Next Post