OMMY DIMPOZ ATANGAZA KUJIUNGA NA ALIKIBA KWENYE LEBO YA ROCKSTAR



Ommy dimpozi kupitia ukurasa wake wa twiter ametangaza kujiunga na rebo kubwa ya muziki Afrika ya Rockstar

ommy dimpozi alisema taarifa hiyo ni official kuwa sasa atafanya kazi chini ya Rockstar ambayo pia alikiba yupo kwa muda mrefu

kuhusu rebo yake aliyokuwa akiimiliki ajasema itakuwaje ambapo katika rebo yake alimsajili Msanii Neddy music


Post a Comment

Previous Post Next Post