VIJANA CHADEMA WATAKA KUANDAMANA POLISI YAWAONYA

Umoja wa vijana wa chadema taifa BAVICHA mkoani kilimanjaro wapanga maandamano ya amani kuipongeza kambi ya upinzani bungeni

BAVICHA wamesema wamepanga maandamano ya amani kuipongeza kambi ya upinzani bungeni kwa kazi kubwa ya kuzipigania rasilimali za taifa

BAVICHA walisema wamepanga kufanya maandamano ya amani kuwapongeza viongozi wao wa upinzani kwa kuwa wamefanya kazi kubwa kulipigania taifa na rasilimali zake hivyo hawana budi kuwapongeza kwakuwa wamefanya kazi kubwa

kufuatia kauli hii uongozi wa polisi mkoani kilimanjaro umesema marufuku kufanyika kwa maandamano hayo kwakuwa ni batili na yanapoteza muda wa kufanya kazi

polisi imesema haiyatambui maandamano hayo na wakikaidi jeshi la polisi litafanya kazi yake kuhakikisha amani inakuwepo


Post a Comment

Previous Post Next Post