Mrembo ambae alikuwa akitokea kwenye video nyingi za wasanii bongo ajulikanae kwa jina la Tunda ambae sasa ni.mjamzito agoma kumtaja baba kijacho wa ujauzito huo
Tunda ambae ana ujauzito wa zaidi ya miezi mitatu asema hawezi kumtaja mwanamume mwenye ujauzito huo huku akisema haina ulazima kwa watu kumfahamu kwa kuwa yeye ndiyo anae mjua mwenye ujauzito huo
taarifa za tunda kuwa mjamzito ziliwashitua wengi kwa kuwa mastaa wengi wamekuwa hawapendi kuzaa mapema wakiamini watakosa soko au watapoteza mvuto
wapo waliosema mimba hiyo ameipata kwa bahati mbaya tu hakutarajia tunda alisema mimba hiyo yeye mwenyewe aliamua kutafuta na ameona ni muda wake kwa yeye kuwa mama kwa kuwa hadhani kama kuna kitu atakipoteza katika maisha yake ya kilasiku
mrembo huyo ambae alishawai kutoka na Young dee alikataa kuwa ujauzito huo sio wa young dee na wala hausiki na hawana mahusiano kwakuwa walisha achana siku nyiingi zilizopita kwahiyo Young dee hausiki
Tags
Entertaiment