TUNDU LISU AACHIWA KWA DHAMANA YA MILIONI 10



Mwanasheria mkuu wa Chadema na Rais wa chama cha wanasheria TLS nchini Tundu lusu aachiwa kwa dhamana

Lisu ameachiwa leo katika mahakama ya kisutu jijini dar es salaam baada ya mawakili wake kuwasilisha ombi la dhamana

baada ya mahakama kupitia ombi lake na hatimae akaachiwa kwa dhamanaa ya shilingi milioni kumi huku akitakiwa kuto safiri nje ya dar es salaam bila ya kibari cha mahakama

uchunguzi wa kesi yake unaendelea na hakimu amehairisha kesi mpaka agost 24 itakapo somwa tena


Post a Comment

Previous Post Next Post