
Mchezaji aliye wai kuchezea yanga na mwadui united Jerry tegete ajiunga na majimaji ya mjini songea
tegete ambae alipata mafanikio makubwa akiwa na timu ya yanga kwa miaka kadhaa hatimae amesaini majimaji ya hapa songea
tegete amesema kwenye maisha ya soka ni vigumu kutambua kesho utakuwa wapi kikubwa ni kupambaba ili uyafikie malengo
amesema majimaji ni sehemu sahihi kwake kwa sasa maana anaitaji kurudusha kiwango chake cha zamani akiwa na yanga na timu nyingine
tegete amekuja majimaji akitokea nwadui united kwa dau ambalo halija wekwa wazi na timu hizo mbili
Tags
Michezo