ALIYE MPA MMBWA WAKE JINA LA RAISI WA NAIJERIA AACHIWA



Mapema mwaka jana nchini naijeria mtu mmoja alishitakiwa na kukamatwa baadaya kumpa  mbwa wake jina la raisi wa nchi hiyo

mwanaume huyo ambae ni mfanya biashara sokoni alimpatia mmbwa wake jina la raisi wa nchi hiyo ya Naijeria

baada ya kumpatia jina hilo majirani zake walienda kuripoti polisi kwakile walicho kiita kejei kwa raisi wa nnchi

baada ya kukamatwa na kuhojiwa mwanaume huyo alijibu kuwa alimfanya hivyo siyo kwaajili ya kufedhehesha ila alifanya hivyo kwakuwa anamkubari raisi wake na siyo vinginevyo

mwanaume huyo alikamatwa tangu mwaka jana na hatimae kaachiwa huru kwakuwa hata raisi mwenyewe hakuchukizwa na jina hilo na alichukulia kama utani tuu


Post a Comment

Previous Post Next Post