SUNGUSUNG WAWACHOMA MOTO WANAWAKE WANNE WILAYANI NZEGA



Wanawake wanne wamechomwa moto na kikosi cha sungusungu katika kijiji cha Undomo wilayani nzega mkoani tabora

kamanda wa polisi amesema wanawake hao walichomwa moto mpaka kufa huku mmoja wao akipigwa kipigo kizito

amewataja marehemu kuwa ni
"ester kaswahili,Njungu maswani,Christina said na kabula kageto "

kwa mujibu wa tetesi wanawake hao wamechomwa moto wakituhumiwa kuwa ni wachawi na huwaroga watu hapo kijijini kwa kipindi kirefu

mpaka sasa polisi imewakamata diwani wa kata na mtendaji kwakuwa walikuwa wakijua kuhusu mpango wa tukio hilo lakini hawakutoa taarifa mapema

pia sungusungu walio husika wanatafutwa na polisi imepiga marufuku vikundi hivyo vya ulinzi kwakuwa vimekuwa vikikiuka maadili


Post a Comment

Previous Post Next Post