
Mwanafunzi wa miaka kumi na moja nchini Benin amefanya maajabu katika mtihani wa mwisho wa sekondari
mwanafunzi huyo aitwaye Peace ndiame ambae ana umri wa miaka kumi na moja afanya maajabu baada ya kufanya mtihani wa wakubwa na kufauru hesabu na kupata 17/20 katika mtihani wake
mwalimu wa mwanafunzi huyo alisema mwanafunzi huyo akiwa na miaka kumi aliweza kuandika kwa ufasaha kiingereza na kifaransa hali ambayo wanafunzi wengi hawawezi
mwanafunzi huyo alifauru hesabu na kuongoza katika mtihanu huku akisena anatamani kusoma kwenye nchi inayo zungumza kiingereza
Tags
Kimataifa